Zaidi ya Milioni 40 za Washindi Kilimanjaro Marathon 2021 Kizungumkuti

Zaidi ya Milioni 40 za Washindi Kilimanjaro Marathon 2021 Kizungumkuti

Melubo Letema

JF-Expert Member
Joined
Apr 1, 2020
Posts
416
Reaction score
414
Washindi wote 40 wa Mbio za Kilimanjaro Marathon hawajalipwa fedha zao hadi leo.

Washindi hao ni wa Kilomita 42 na Kilomita 21 ambao ni kumi bora kwa Wanawake na Wanaume.

Wanariadha wamewasiliana na Race Director, John Bayo ambaye pia ni Makamu wa Rais wa RT bila majibu ya kuridhisha.

Wanariadha wameshangazwa na ukimya huu wa RT, Kamati ya utendaji na Baraza la Michezo BMT ambao walikuwa wamealikwa na Race Director Siku hiyo ya Mbio.

Wanariadha wanaomba Naibu Waziri aingilie kati kwa kuwa ndiye aliyekuwa mgeni rasmi.

Tukumbuke, Michezo ni Ajira.
 
Watu washapiga izo,na hivi mzee anaumwa ndo kabisa wapigaji wanarudi kwa kasi mno yani.
 
Back
Top Bottom