Teargass
JF-Expert Member
- Apr 23, 2018
- 20,648
- 17,772
Jiji la Dar es Salaam ni la tano kwa wingi wa watu Afrika, na linakadiriwa kuwa na watu milioni 13.5 ifikapo mwaka 2035. Licha ya ukuaji huo, zaidi ya robo tatu ya wakazi wa Dar es Salaam wanaishi katika makazi holela. Changamoto nyingine ni ubovu wa miundombinu na ajira rasmi.