Zaidi ya Shilingi Bilioni 44.5 za Michango ya COVID-19 zimeliwa?

Nilitegemea hoja zangu zijibiwe kumbe unakubali na kutambua kuwa kuna chama chama siasa kinaendeshwa kama SACCOS!
Ccm ni saccoss ya chato mkuu..... Huoni mtu mmoja ndo anaamua kila kitu. Nani agombee wapi hata rais wa zanzibar ni mwemyekiti wa saccoss yenu anaamua.....
Huko hampanui midomo yenu hata kidogo kumkosoa mungu wenu wa chato......

Tunataka accountability ya matrillioni ya watz acha uzwazwa wa kuokoteza
 
Kenya waliosema hela imeliwa, walileta ushahidi. Hii uliotuwekea ni michango na misaada. Imetumikaje hatuoni chochote. Nfikiri ungeuliza swali halafu majibu ndio yatasema zimeliwa au la. Labda zinajenga Stigler gorge sababu sisi officially hatuna hadithi za Corona?
 
Serikali iandae Mapato na Matumizi ya Mfuko wa Covid 19 pesa zilichangwa nyingi maalum kwa ajili ya watanzania na sio matumizi binafsi

Waweke wazi

Mapato ........

Matumizi .......
Balance ........

Vifaa vilivyopokelewa viligaiwa Hosp..........
 
Nia na sababu za kufanya mageuzi zipo, uwezo ndio tatizo. Mshindi wa uchaguzi katika nchi zisizo endeshwa kwa utawala wa kisheria huchaguliwa na anaehesabu na kutangaza matokeo.
 
Umesha sema "labda".... Kwa hiyo swali linabaki palepale accountability ni muhimu sn....
 
Serikali iandae Mapato na Matumizi ya Mfuko wa Covid 19 pesa zilichangwa nyingi maalum kwa ajili ya watanzania na sio matumizi binafsi

Waweke wazi

Mapato ........

Matumizi .......
Balance ........

Vifaa vilivyopokelewa viligaiwa Hosp..........
Sure!
Alafu ukaguzi maalum ufanyike kuthibitisha mapato na matumizi...
 
Sawa...... Nilihoji haya mambo lkn serikali imekataa kunipa majibu.
Kumbe kuna dola 27mil walipewa na umoja wa ulaya na zenyewe wametumia kuhonga wasanii kipindi cha kampeni.... Hawa EU hawapo kwenye orodha yangu ya. waaliochangia corona Tanzania
 
Daah jamaa kapewa 48hrs kutoa maelezo walitumia criteria gani kutoa hizo fedha na zimetumikaje?
Mambo yameshaharibika huko
 
Nashauri hao wengine wote niliowaorodhesha wadai pesa zao zirudishwe...... Hii serikali dharimu haihitaji kupewa hata shilingi...
 
Serikali iandae Mapato na Matumizi ya Mfuko wa Covid 19 pesa zilichangwa nyingi maalum kwa ajili ya watanzania na sio matumizi binafsi

Waweke wazi

Mapato ........

Matumizi .......
Balance ........

Vifaa vilivyopokelewa viligaiwa Hosp..........
Naona sasa mmeshabadili gia angani tena sasa mnajadiri pesa za Covid za EU maandamano tena hakuna wala uchaguzi wa 2020 hamna mpango nao tena!
 
HAZIJALIWA BHANA , SI ZIMEENDA STIEGLER GORGE NA NYINGINE STANDARD GAUGE RELI. TUNAJENGA KWA PESA ZETU
 
Kama walibugia mzigo wote wa Madagascar kimya kimya watashindwa hela????? Halafu utasikia "tunatekeleza miladi kwa feza za ndani".
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…