Zaidi ya Shilingi Bilioni 44.5 za Michango ya COVID-19 zimeliwa?

HAZIJALIWA BHANA , SI ZIMEENDA STIEGLER GORGE NA NYINGINE STANDARD GAUGE RELI. TUNAJENGA KWA PESA ZETU
Huko tumeambiwa ni pesa za ndani..... Hii ni serikali inayokusanya kuliko zote zilizopita....
 
Kama walibugia mzigo wote wa Madagascar kimya kimya watashindwa hela????? Halafu utasikia "tunatekeleza miladi kwa feza za ndani".
Ng'ombe kabisa haya majitu
 

Attachments

  • 123657484_386064102578223_5999782792563047992_n.jpg
    40.8 KB · Views: 18
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…