Zaidi ya Wanachama 200 wa CUF Buguruni Wahamia CHADEMA na kupokelewa na Mwenyekiti Mbowe!

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
104,319
Reaction score
183,639
Jumla ya Wanachama zaidi ya 200 wa CUF wamehamia CHADEMA kwa hiyari yao bila kulazimishana

Mwenyekiti wa CHADEMA Mbowe ndiye aliyewapokea Wanachama hao wapya

Mungu awabariki sana!
 
Bado uchaguzi ukifanyika leo watakuwa hawatoshi kuwapeleka ikulu wabaki na maigizo yao bongo movie!
 
Jumla ya Wanachama zaidi ya 200 wa CUF wamehamia Chadema kwa hiyari yao bila kulazimishana

Mwenyekiti wa Chadema mh Mbowe ndiye aliyewapokea Wanachama hao wapya

Mungu awabariki sana!
Wewe huwa unapata wapi habari hizi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…