Zaidi ya wanafunzi 15,000 wakosa mikopo ya elimu ya juu!

Perry

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2011
Posts
10,058
Reaction score
2,195
Wakuu,kulingana na taarifa rasmi nlizozpata muda huu toka chanzo cha kuaminika toka heslb,ni kwamba zaidi ya raia 15000 wamepigwa chini na heslb..watu wanaosoma udaktari wa binadamu&mifugo,uhandisi,kilimo na ualimu wa masomo ya sayansi na hisabati,wamelambwa 100%,wanaosoma ualimu wa masomo ya sanaa na biashara wamepewa kulingana na means testing,pia kuna wachache ambao wanasoma programs zisizo za kipaumbele wamebahatika kupata mkopo.chuo kikuu cha dar es salaam wanafunzi zaidi ya 1000 wamekosa mkopo kabisa!asanten .
 
Probably ln watatoa majina rasmi?!funguka mwana!
 
Duuuu mbona kama ndo hivyo basi tcu naomba waanze taratibu za kutangaza nafasi nyingi zitakazo achwa na watoto wa masikini nikiwemo mimi, Mungu epushia mbali hili.
 
Da jamani tupunguze bia maana ada ya chuo s mchezo!! Kama unao watatu na kama walisoma academy jua full chuo kusomesha!!! Need big savings!!
 

1qn. chanzo hakijakwambia wanatoa majina lini???
 
Ud ka tupo 1000 walokosa mkopo wanatosha kabsa kwenye maandamano
 
Da. Kwakweli hii inasikitisha sana, watoto walijitahd lakin govmnt haitendi haki, hawa vijana wataenda wapi, na ndo hawa wale 10% waliofaulu fom 4, serikali isikilize kilio cha hawa watoto
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…