KIBURUDISHO
JF-Expert Member
- Mar 28, 2011
- 1,002
- 277
Ni tukio lililotokea leo majira ya saa nne katika Shule ya msingi Park-Nyigoti Wilayani Serengeti Mkoani Mara.Tukio hilo limetokea baada ya ndoo moja iliyotumika kugawia uji kuwa na sumu ya kuulia wadudu katika pamba.Ndoo hiyo imefika shuleni na baadhi ya mwanafunzi mmoja aliyekuja nayo ikiwa ni sehemu ya kutekeleza maagizo ya mwalimu wa zamu kwa kila mwanafunzi kuja na ndoo ya maji.Mganga mkuu wa hospitali ya NYERERE DDH amethibitisha kutokea kwa tukio hilo.
Source😀iwani wa kata hiyo na Mtendaji wa Kata hiyo.
Source😀iwani wa kata hiyo na Mtendaji wa Kata hiyo.