Zaidi ya wanafunzi 28000 kukosa mikopo ya Elimu ya Juu

Kibundi wa getto

JF-Expert Member
Joined
Sep 28, 2013
Posts
455
Reaction score
877
Akiongea na EATV katibu wa heslb amesema wanafunzi 58307 wametuma maombi ya mikopo.Kasema bodi inauwezo wa kukopesha wanafunzi 30000 tu wa mwaka wa kwanza.

Out of hao wanafunzi wote kuna wenye wanafall kwenye zile criteria za kupata na wengine hakuna.Kama umo nadhani hakuna haja ya kupanic

Though ile mihela ya kuhost watu kule JAKARTA ingenufaisha wengi hapo
 
Wengine tulieni usipopata fanya kingine maana elimu yako ya form six itakusaidia kama mwelewa
 
Nimegaili sisomi tena,nitajiajiri ila mliopata mkopo mkimaliza chuo nitawapa ajira
 
Nimegaili sisomi tena,nitajiajiri ila mliopata mkopo mkimaliza chuo nitawapa ajira

Duh mkuu umeshapata mtaji tayari eeeh.
Hongera ni uamuzi mzuri maana elimu uliyonayo hadi sasa kama haitaweza kukusaidia hata usome degree haitakusaidia
 
WANAFUNZI 28,037 KUKOSA MIKOPO.
Wanafunzi 28,037 watakosa mikopo kutoka bodi ya mikopo ya wanafunzi wa elimu ya hivyo watalazimika kusaka njia mbadala kama wanataka kuendelea na masomo hayo. Hadi kufikia julai 31 wanafunzi 58,037 walikuwa wametuma maombi ya mkopo na bodi hiyo imesema ina uwezo wa kutoa mikopo kwa wanafunzi 30,000 tu.

Pia kuhusu madai ya wanafunzi wa vyuo vitano kutaka wapewe bilioni 6.6 kwa ajili ya mafunzo ya vitendo, bodi ya mikopo imesema malipo hayo yaandaliwa na kwamba hundi za malipo hayo zinatarajiwa kupelekwa katika vyuo wiki ijayo.

Vyuo hivyo ambavyo havijapata fedha ni SAUT, IFM, Teofilo Kisanji- Mbeya, Tumaini, SMUCCO na Jordan cha Morogoro

East Africa Television (EATV)
 
WANAFUNZI 28,037 KUKOSA MIKOPO.

Wanafunzi 28,037 watakosa mikopo kutoka bodi ya mikopo ya wanafunzi wa elimu ya hivyo watalazimika kusaka njia mbadala kama wanataka kuendelea na masomo hayo. Hadi kufikia julai 31 wanafunzi 58,037 walikuwa wametuma maombi ya mkopo na bodi hiyo imesema ina uwezo wa kutoa mikopo kwa wanafunzi 30,000 tu.

Pia kuhusu madai ya wanafunzi wa vyuo vitano kutaka wapewe bilioni 6.6 kwaajili ya mafunzo ya vitendo, bodi ya mikopo imesema malipo hayo yaandaliwa na kwamba hundi za malipo hayo zinatarajiwa kupelekwa katika vyuo wiki ijayo.

Vyuo hivyo ambavyo havijapata fedha ni SAUT, IFM, Teofilo Kisanji- Mbeya, Tumaini, SMUCCO na Jordan cha Morogoro
 
Huu ni wehu kabisa yani kule Dodoma kuna vichaa wanapiga porojo kwa siku wanaingiza laki5 na wapo watu zaidi ya 500, alafu huku kwenye mambo ya muhimu unaskia eti fedha hakuna, Hii nchi bila Mungu kuingilia kati ipo siku tutapigana mapanga.
 
Hakika hii nchi inatia kinyaaa. Ni upuuzi nimeangaika nimesoma kwa shida uko vijijini kuangaika na vibarua vya kulima leo unakuja kunambia upuuzi wa kutonipa mkopo unahisi ntakuelewa enh...!!
Ivi jamani hii nchi inakwenda wapi miaka 21 nimekulia kijijini leo hii naona nuru inakaribia ya kuja mjini angalau ata nitanue uwezo wa fikra zangu kwa kusoma mjini mnaleta upuuzi enh.........!!
Sasa kwa taharifa yenu (serikali) mjini tunakuja iwe kwa kua vibaka au kwa vyovyote vile. Mikopo yenyewe kwnza mnapeana kindugu tumechoka......!!! Michepuko ndo dili mjin 2nakuja tu......!!!!
 
Lakini maintarahamwe wanazo za kumuonga mchange
 
so hao elfu 28 washajijua??mana wawajuze ili wajitambue mapema kuliko kutoa majibu octoba ikawa mtafutano tu.
 
Kuna uwezekano hali ya kifedha nchini hasa kwa wakopaji ikawa mbaya zaidi maana BMK si mchezo hata wafanyakazi wanalalamika mishahara inachelewa
 
WANAFUNZI 28,037
KUKOSA MIKOPO.

Wanafunzi 28,037 watakosa mikopo
kutoka bodi ya mikopo ya wanafunzi
wa elimu ya hivyo watalazimika
kusaka njia mbadala kama wanataka
kuendelea na masomo hayo. Hadi
kufikia julai 31 wanafunzi 58,037
walikuwa wametuma maombi ya
mkopo na bodi hiyo imesema ina
uwezo wa kutoa mikopo kwa
wanafunzi 30,000 tu.
 
....Duuh ila mabilioni ya kuwaweka watu JKT yapo na ya kuwapa waandaaji Jarida la Katiba kule Dom yapo eeh?Kuleni ila ipo siku hivyo mnavyovila kwa amani mtatamani mvitapike.Na kumbukeni hii nchi ni yetu sote hebu basi haka ka'keki kataifa tugawane wote japo kila mmoja aweze kupata angalau ladha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…