Zaidi ya wanafunzi 28000 kukosa mikopo ya Elimu ya Juu

Mikopo watapendelewa zaidi zile faculties Vipaumbele tu.Kama umeomba Laws,PSPA,utapata mkopo 0%.Kama ulijaza Fucult ili upewe sifa mtaani kwenu utaumbuka sana
 
Sounds good.... Hebu wape faida kidogo.....fafanua Elimu ya fm6 itawasaidiaje!!!

Ni hivi,
Hadi mtu kumaliza elimu ya A level ina maana anajielewa, anaelewa nini anafanya, nini anatakiwa fanya ili maisha yasonge. Kama hiyo elimu haiwezi kukusaidia kujikwamua kutoka kwenye maisha haya basi hata ukisoma hiyo degree inaweza isikusaidie pia.
Umekosa mkopo fanya kingine na sio kulalamika na kukaa ukisubiri mkopo, utajikuta unapoteza muda afu baadae ukakosa kazi vile vile
 

wanatengeneza kupitia JKT coz vijana wanazalsha sana na pia wanatengeneza wajasiriamal,sidhan kama n hasara
 
Tatizo nchi yetu ni kama haina serikali, watu toka mwaka 1994 hawajalipa mikopo na wako tu kazini. Hizo pesa watu tungerudisha jmn ili mzunguko uendelee(hata mi sijarudisha hata 100).

Nchi zingine wana system, unapajiria tu hata ka ni kazi ya siku moja kuna salio la ujira wako unalipia deni. Sisi kwetu serikali ipo tuu yani hadi waombe majembe auction mart sijui🙉🙉
 
Hiv mbona.hamjiulizi hiz lak tatu tatu zinazotumika bmk ya ccm serikali imezitoa wap ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…