Strong ladg
Senior Member
- Jul 15, 2021
- 170
- 445
Zaidi ya wanamichezo 100 walioshinda medali kwenye mashindano ya Olimpiki yaliyofanyika Paris nchini Ufaransa mwaka 2024 wamelazimika kuzirudisha medali hizo kwenye kamati ya maandalizi ya Olimpiki kutokana na kupata kutu au kuharibika kwa namna nyingine.
Baadhi ya wanamichezo waligundua medali zao zimeharibika wakati mashindano yakiwa bado yanaendelea huku wanamichezo wengine wakigundua mabadiliko yasiyo ya kawaida kwenye medali baada ya kumalizika kwa mashindano hayo.
Medali hizo ziliandaliwa na kampuni kutoka nchini Ufaransa.
"Over 100 athletes return rusty Paris Olympic medals - VnExpress International" Over 100 athletes return rusty Paris Olympic medals - VnExpress International