Zaidi ya wanamichezo 100 warudisha medali za Olimpiki 2024 zilizoharibika

Strong ladg

Senior Member
Joined
Jul 15, 2021
Posts
170
Reaction score
445
Zaidi ya wanamichezo 100 walioshinda medali kwenye mashindano ya Olimpiki yaliyofanyika Paris nchini Ufaransa mwaka 2024 wamelazimika kuzirudisha medali hizo kwenye kamati ya maandalizi ya Olimpiki kutokana na kupata kutu au kuharibika kwa namna nyingine.

Baadhi ya wanamichezo waligundua medali zao zimeharibika wakati mashindano yakiwa bado yanaendelea huku wanamichezo wengine wakigundua mabadiliko yasiyo ya kawaida kwenye medali baada ya kumalizika kwa mashindano hayo.
Medali hizo ziliandaliwa na kampuni kutoka nchini Ufaransa.

"Over 100 athletes return rusty Paris Olympic medals - VnExpress International" Over 100 athletes return rusty Paris Olympic medals - VnExpress International
 

Attachments

  • 20250116_101315.jpg
    367.4 KB · Views: 2
Zaidi ya wanamichezo 100 walioshinda medali kwenye mashindano ya Olimpiki yaliyofanyika Paris nchini Ufaransa mwaka 2024 wamelazimika kuzirudisha medali hizo kwenye kamati ya maandalizi ya Olimpiki kutokana na kupata kutu au kuharibika kwa namna nyingine.πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Kitu na boksi feki.
KAZI ni kipimo cha UTU
 
Hizi medali ni kama za mchongo au watu wamepiga noti Nini, πŸ˜€
 
Mmmh
 
Kashfa kubwa sana hii
 
Niliona kuna wale walikuwa wanazingata, alafu ukute wananyonya na nanilii hapo medali haziwezi kuwa salama
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…