mnataka kusema kazi ya Mungu ina makosa? lililopangwa kutokea litatokea.
asante.
Mimi siamini katika mungu at all, mungu ni idea tunayoitumia kulundika kila kitu ambacho hatukielewi. Soma juu hapo.
Hata ukiongelea mungu as euphemism ya the inevitability ya failure in systems, kwamba man cannot create perfect systems, utakuta hata hatujajitahidi kutengeneza systems zilizo na standards, let alone perfect.
Kwa hiyo kusema "kazi ya mungu haina makosa" ni kauli za kujifariji tu.
How did you arrive at the conclusion that Mungu ni "idea"?
Kwa sababu unaifikiria.
Mke wako au demu wako (if you have one) ninaweza nikamfikiria lakini haina maana yeye ni "idea"...she is a person...how do you explain that?
I was merely answering your question, which was how did I arrive at the conclusion that god is an idea.
Mind you, to ask "how did you arrive that god is an idea" is a different question from asking "how did you arrive at the conclusion that god is only an idea"
it seems you wanted to ask "only an idea" but failed to phrase the question.
It was not my intention to hijack the thread, but since you asked
God, at least in the Judeo-Christian tradition, where he is supposed to be omnipotent, omniscious and omnipresent and also so benevolent so as to give humans free will, fails a test of logic due to the logical incompatibility of an all knowing all powerful god knowing the future and at the same time not influencing it as in the case of according human freewill.
So because of this incompatibility.
Either god knows all, including the future, but humans do not have freewill
Or
Humans have freewill, but god does not know the future
That is if you think inside the god box.
If you venture further to investigate the history and evolution of the god idea carefully you will find out that god is a fabrication.
Man made a man-made god who made man, god who made man made man mad.
Wakuu Rufiji, Susuviri, na Pundint,
Heshima mbele na nimewasikia, naomba kuuliza tena, hivi kweli sheria ikifuatwa inavyotakiwa huko kwenye migodi ya wazawa kuna hata mmoja utakaobaki wazi? Sasa what that will do kwa ajira za wananchi wanyonge?
Maana wakuu mkumbuke kuwa hii ni bongo, sio majuu, mimi ninaaamini ukiamua kufuata sheria hasa za kila sekta, huenda itabidi ku-close bongo nzima sasa itakuwaje?
No clairvoyant powers,
I just thought you smarter than you are saying you are.
Forgive my oversight.
When did I say I was smarter? and what are you trying to insinuate here....that I'm not as smart as I think I am and that you are smarter than me and everybody?
No clairvoyant powers,
I just thought you smarter than you are saying you are.
Forgive my oversight.
I see you are pulling stuff out of thin air.
Who is insinuating now? You who say that I said you said you were smarter (the word I used was thought, quoted above, perhaps you may be able to discern the difference?)
As for me trying to insinuate that you are not as smarter as you think (I actually said I thought you were smarter than what you said you were, but I might as well be speaking Klingon or some extinct ancient Greek!), and that I am smarter than you all I have to say is baseless accusation formed from inferiority complex have a way of exposing the unknowns.
Thank you for that revelation.
I won't even give you the satisfaction of stooping to your level.
Siwezi kusema lolote kuhusu alichosema Kikwete Arusha kwa sababu sijui alisema nini. Jarida moja limeripoti Mkuu wa Wilaya kazomewa kwa kuja na Shangingi badala ya mashine eneo la tukio. Lingine limeandika Kikwete kapigiwa makofi kwa hotuba yake ya 'Mungu kapanga.' Ni nini zaidi Kikwete alisema kuhusu usalama migodini alipoagiza uchunguzi ufanyike, sijui. Magazeti yetu uchwara hayajasema!
Nilicho na uhakika nacho 100% ni hiki: chochote alichosema kimegawanya wanamaoni humu mpaka wakatukanana akili. Kikwete katutenganisha kwa hiyo ataendelea kututawala bila mushkeli. Mkimletea kokolo kuhusu utendaji wake, ni Mungu kapanga! Kikwete 2010!
Watu eeeeeeeeh!
Wakuu Rufiji, Susuviri, na Pundint,
Heshima mbele na nimewasikia, naomba kuuliza tena, hivi kweli sheria ikifuatwa inavyotakiwa huko kwenye migodi ya wazawa kuna hata mmoja utakaobaki wazi? Sasa what that will do kwa ajira za wananchi wanyonge?
Maana wakuu mkumbuke kuwa hii ni bongo, sio majuu, mimi ninaaamini ukiamua kufuata sheria hasa za kila sekta, huenda itabidi ku-close bongo nzima sasa itakuwaje?
nyani ngabu umekuwa kama mlevi wa "mbuksa" siku hizi, kila siku unaanzisha majigomvi na watu........loh, hivi una beef na watu wangapi humu forums!!??? slow down baby boy, unatolea mimacho nno vitu ndogo ndogo!!
bwahahahahahahaha, usinune dogo, kwani nilikuwa nakwambia ukweli tu kidogo!! ache hiyo 'tauzan mentality'......eazy now!!.