Lady Whistledown
JF-Expert Member
- Aug 2, 2021
- 1,147
- 2,008
Mamlaka zimesema idadi ya watu ambao bado hawajulikani walipo kutokana na Kimbunga Freddy imeongezeka kutoka 349 hadi 427, huku baadhi ya nchi kama Tanzania, Britain na Zambia zikiendelea kutuma misaada ya kibinadamu pamoja na vikosi vya uokoaji.
Idara ya Masuala ya Kukabiliana na Majanga ya Malawi (DoDMA) imesema Ripoti za tathmini kutoka Mikoa 15 iliyoathirika imeonesha kuwa Kufikia Machi 20, 2023, idadi ya watu waliokimbia makazi yao ni 508,244, huku idadi ya vifo ikiongezeka kutoka 476 hadi 499, na majeruhi kufikia 1,332.
Hadi sasa Serikali ya Malawi imeweka kambi zaidi ya 500 katika eneo la Kusini mwa nchi hiyo, ambapo zaidi ya Wilaya 10 zimeathirika.
---
Authorities in Malawi say the number of people who are still missing following Storm Freddy has risen from 349 to 427, as more countries continue to send humanitarian aid.
Malawi's Department of Disaster Management Affairs (DoDMA) on Monday said it received rapid assessment reports from 15 affected regions in the country.
"As of Monday, 20th March 2023, the number of displaced people is at 508,244. The death toll has risen from 476 to 499, with 1,332 injuries," DoDMA said in a statement
Several countries including the UK, Tanzania and Zambia have sent teams to help in rescue operations.
The storm struck Mozambique and Malawi last week for the second time in a month, destroying scores of homes and triggering widespread floods.
Malawi’s government has set up over 500 camps across the country’s southern region, where up to 10 districts have been affected
Source: BBC