Twende kwa hesabu za statistic.
Kenya ipo na population ya watu 49,000,000
Huko Turkana watu wanaokabiliwa na baa la njaa ni watub 800,000.
Sasa chukua 49,000,000/800,000 = 61.
Kwa hiyo kwa average ya Turkana kila wakenya 61 mmoja anakumbwa na baa la njaa.
Kwa sample ya turkana. Kenya zipo counties 47. Hebu tuchukulie kwa wastani ya chini kabisa kila country wapo watu 100,000 wanakumbwa na baa la njaa.
Minimum population ya wanaokumbwa na baa la njaa ni 4,700,000.
So chukua 49,000,000÷4,700,000
Utapata 10.
Maabayake ni kwamba kwakila wakenya 10 mmoja anakumbwa na baa la njaa.
Hii hali ni hatari sana siyo ya kuchekea.