BARD AI
JF-Expert Member
- Jul 24, 2018
- 3,591
- 8,826
Mgombea Urais wa Republican, Donald Trump anaendesha Mazungumzo na Mmliki wa Mtandao wa X (Twitter), Elon Musk na hadi kufikia Saa 10 Kasoro usiku wa leo Agosti 13, 2024 watu waliofanikiwa kujoin ni zaidi ya Milioni 1.4.
Hata hivyo Elon Musk amelalamika kupata mashambulizi kadhaa ndani ya Mtandao ambayo yalipelekea kuyumba kwa mtandao mara kadhaa na kupoteza usikivu.