Zaidi ya Watu Milioni 1 wanasikiliza Spaces ya Donald Trump na Elon Musk

BARD AI

JF-Expert Member
Joined
Jul 24, 2018
Posts
3,591
Reaction score
8,826

Mgombea Urais wa Republican, Donald Trump anaendesha Mazungumzo na Mmliki wa Mtandao wa X (Twitter), Elon Musk na hadi kufikia Saa 10 Kasoro usiku wa leo Agosti 13, 2024 watu waliofanikiwa kujoin ni zaidi ya Milioni 1.4.

Hata hivyo Elon Musk amelalamika kupata mashambulizi kadhaa ndani ya Mtandao ambayo yalipelekea kuyumba kwa mtandao mara kadhaa na kupoteza usikivu.

 
TRUMP ANA MTANDAO WAKE UNAITWA TRUTH SOCIAL HATAKIWI KUHANGAIKA NA MITANDAO YA WATU WENGINE YEYE AKUZE TU WAKE, HAPO ANAMPA ELON PROMOTION YA X, ZAMANI UKIITWA TWITTER WALIMFUNGIA, AACHANE NAO
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…