Mama Mwamba
Member
- Feb 16, 2012
- 15
- 1
Asanteni wote mlionisaidia na mtaoendelea kunisaidia kuelewa lugha ya Kiswahili. Naomba mjue kuwa ninazo kamusi lakini mara kwa mara utakuta kuna maneno hayapo...au labda tatizo langu sio kutokuelewa kila neno, tatizo ni kuelewa maana ya sentensi. Na pia ninatumia Kamusi project, Wiktionary na Mwanasimba. Kama unajua mitandao mengine yanayoweza kunisaidia, nashukuru. Kama unauwezo na muda wa kunisaidia, I am grateful.Maswali yataendelea kuja...
1.wadanganyika wa hali ya nchini
2.Sounds mchicha
3.Umeme uzalishwe na kudishwaMtwara
4.mitambo ya umeme
5.faida za wazi za upunguzagharama za mradi mara dufu na muda mfupi
1.wadanganyika wa hali ya nchini
2.Sounds mchicha
3.Umeme uzalishwe na kudishwaMtwara
4.mitambo ya umeme
5.faida za wazi za upunguzagharama za mradi mara dufu na muda mfupi