Zain na NIPE NIKUPE...!

Konakali

JF-Expert Member
Joined
Dec 15, 2009
Posts
1,533
Reaction score
266
Jamani msijaribu hii, ni wizi mtupu! Wanadable gharama za kupiga simu, halafu ndo wanakurudishia nusu kwa masharti ya kutumia. Mimi najuta.
 
Hahahah biashara hiyo mkuu, hebu fikiria wewe upige simu ya ths 200 halafu urudishiwe mia mbili yote ni kanisa hilo au, wale wafanyakazi watalipwa mshahara wao na nini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…