Zain na Vodacom Turiani-Rekebisheni

Zain na Vodacom Turiani-Rekebisheni

MIGNON

JF-Expert Member
Joined
Nov 23, 2009
Posts
4,108
Reaction score
5,110
Nimekuwa nikifika katika hospitali ya Turiani mara kwa mara na kwa kweli mawasiliano ya Zain na Vodacom hayaridhishi kabisa.
Ni vigumu kupata internet na simu inakatika sana.Eneo hili lina mzunguko mkubwa wa pesa kutokana na shughuli za kilimo cha miwa na mpunga na naamini Zain na Vodacom hawatapata hasara kwa kuboresha huduma zao.
 
Back
Top Bottom