ZAIN Vipi mbona mtandao wenu unasuasua?

ZAIN Vipi mbona mtandao wenu unasuasua?

chibingo

Member
Joined
Feb 7, 2009
Posts
46
Reaction score
8
Ningependa kujuakuna nini kimetokea Zain? toka jana mtandao umekuwa ni wa kusuasua, hakuna mawasiliano kabisa, hasa kanda ya ziwa. Nyie watu wa Zain kwani nini msiwaeleze wananchi kuna tatizo gani limetokea na litachukua muda gani kumaliza? kuweni professional wakati mwingine
Nawasilisha.
 
Back
Top Bottom