Zainab Chondo wa Azam TV hongera sana

Zainab Chondo wa Azam TV hongera sana

Mbavu za Mbwa

JF-Expert Member
Joined
Jan 2, 2011
Posts
303
Reaction score
154
Wanajf, habari zenu!!

Nimetokea kumpenda sana Bi Zainab Chondo wa Azam TV na kabla ya hapo alikuwa ITV.

Kila nikimuona atangazapo, moyo wangu huwa kwatuuu!!

Ni mzuri wa sura, umbo, rangi na sauti pia

Je, ameolewa? Au yupo Single?

Bi Zainab, kama upo humu jf, ni-Pm mawasiliano yako.
 
Ukimuona kobe juu ya mti ujue kapandishwa na ukimuona nyani mjini ujue wa kufugwa huyo!!.

Kama ana mume, sitii neno. Lakini kama kuna dume lichafuzi, nipo tayari kuingia katika competition.

Mtoto mzuri kama Zainab Chondo, haitakiwi kuchafuliwa/kufujwa. Inatakiwa ndoa
 
Wanajf, habari zenu!!

Nimetokea kumpenda sana Bi Zainab Chondo wa Azam TV na kabla ya hapo alikuwa ITV.

Kila nikimuona atangazapo, moyo wangu huwa kwatuuu!!

Ni mzuri wa sura, umbo, rangi na sauti pia

Je, ameolewa? Au yupo Single?

Bi Zainab, kama upo humu jf, ni-Pm mawasiliano yako.

umejipangaje???
 
Last edited by a moderator:
Tembo? Mh mi nitampatia sapoti ya twiga hata mmoja wa kufuga tu si yuko tayaru
 
Back
Top Bottom