Zakari yangu ina tatizo au kawaida

Zakari yangu ina tatizo au kawaida

Masai Mara

Senior Member
Joined
Dec 25, 2014
Posts
134
Reaction score
54
Wakuu heshima zenu.
Zakari yangu inasimama vizuri kama msumari, usiku mara nyingi inasimama yenyewe bila hata kugusa, ila mchana ni nadra mpaka uiguse kidogo.Je ntakuwa na tatizo.

Nawasilisha
 
Wakuu heshima zenu.
Zakari yangu inasimama vizuri kama msumari, usiku mara nyingi inasimama yenyewe bila hata kugusa, ila mchana ni nadra mpaka uiguse kidogo.Je ntakuwa na tatizo.

Nawasilisha
Wewe ulitaka ifanye?
 
Niliona sehemu MTU kasema muda wote inatakiwa isimame yenyewe bila kugusa.Sssa kwa upande wangu mchana inatokea mara change.Je ni tatizo au
 
Ila kwa hapo only your joking kuhusu hiyo kitu ikiwa na shida huwezi kutuletea mezani kwani ungekuwa na mawazo mengi sana na ushamtafuta DAKTARI! Chezea zakaria =maisha ya mwanaume!
 
Mkuu fatilia post zangu.Nilikuwa na hilo tatizo Sasa nikapata tiba, ndio Nina mabadiliko hayo, ila kwa mchana mara chache inasimama yenyewe, ila ukigusa tu fasta
 
Maana yake Dhakari yako inakutaka ufanye kazi mchana kutwa huku usiku ikiwa ndo muda wa kudo na mabebe.
 
Niliona sehemu MTU kasema muda wote inatakiwa isimame yenyewe bila kugusa.Sssa kwa upande wangu mchana inatokea mara change.Je ni tatizo au
Ikicmama Ikalie kwa nyuma izame mchana itakuwa inacmama yenyewe acha akili Za kihuni ucwaze ngono kila SAA bloodyfull[/QUOTE]
Sasa hapo nimewaza ngono au naomba ushauri.
 
Maana yake Dhakari yako inakutaka ufanye kazi mchana kutwa huku usiku ikiwa ndo muda wa kudo na mabebe.
Ndio nauliza ni kawaida, maana sikumbuki zamani ilikuwaje kabla ya kuwa na tatizo.Si unajua baada ya tatizo unafatilia Kila kitu
 
Mkuu nipe darasa, Maji yanasaidiaje kwa mda huo wa mchana au inakuwaje
 
Back
Top Bottom