GENTAMYCINE JF-Expert Member Joined Jul 13, 2013 Posts 60,660 Reaction score 121,325 Mar 11, 2025 #1 Tusichoshane sana hapa bali kwa anayetaka Kuusikia huu UKWELI MCHUNGU wa Mkuu wa Idara ya Habari na Mawasiliano Azam FC Zaka Za Kazi aende Wasafi Fm na atamsikia kwani ameelezea Kiundani kabisa huku kama kawaida yake akiwa Anajiamini na Muwazi.
Tusichoshane sana hapa bali kwa anayetaka Kuusikia huu UKWELI MCHUNGU wa Mkuu wa Idara ya Habari na Mawasiliano Azam FC Zaka Za Kazi aende Wasafi Fm na atamsikia kwani ameelezea Kiundani kabisa huku kama kawaida yake akiwa Anajiamini na Muwazi.
Abuu Kauthar JF-Expert Member Joined Jul 10, 2011 Posts 4,296 Reaction score 6,492 Mar 11, 2025 #2 Bakharesa anapoteza muda, Mtu ameajiriwa Azam ila anakuwa msemaji wa 5imba, aje atuambie hapa 5 imetolewa mara ngapi na Namungu kwenye Federetion
Bakharesa anapoteza muda, Mtu ameajiriwa Azam ila anakuwa msemaji wa 5imba, aje atuambie hapa 5 imetolewa mara ngapi na Namungu kwenye Federetion
Tate Mkuu JF-Expert Member Joined Jan 24, 2019 Posts 33,092 Reaction score 96,127 Mar 11, 2025 #3 Abuu Kauthar said: Bakharesa anapoteza muda, Mtu ameajiriwa Azam ila anakuwa msemaji wa 5imba, aje atuambie hapa 5 imetolewa mara ngapi na Namungu kwenye Federetion Click to expand... Hapa Bakhresa atakuwa anamlipa mshahara mtumishi hewa.
Abuu Kauthar said: Bakharesa anapoteza muda, Mtu ameajiriwa Azam ila anakuwa msemaji wa 5imba, aje atuambie hapa 5 imetolewa mara ngapi na Namungu kwenye Federetion Click to expand... Hapa Bakhresa atakuwa anamlipa mshahara mtumishi hewa.