Zakhera ni mkongo halisi

Zakhera ni mkongo halisi

Mohamed Mbelwa

JF-Expert Member
Joined
Apr 13, 2013
Posts
507
Reaction score
272
Kama umeshawahi kutana na mtu yoyote bar, akijiita papaa au pedeshzee basi utaona masifa yake, akiwa na Elfu30 utafikiri ana laki.

Basi hizo sifa zinatokana na wakongo na ndio maana wanajiita majina ya kikongo

Je umeshawahi msikia kocha wa yanga, mwinyi zahera akipenda misifa,

umeshawahi muona akiponda viwanja vyetu vya michezo utafikiri kongo kuna viwanja kama vya ulaya? umeshawahi msikia akiwaongelea wachezaji wa liking, wanavyolipwa vizuri na vilabu vya kongo?. Anasema timu za kongo zinalipa vizuri sana kuliko hapa kwetu, ila anasahau kuwa yeye ameondoka huko kongo kwenye timu zinazolipa vizuri kaja Tanzania kwenye timu isiyolipa kabisa. Anasema hakuna mchezaji anayecheza hapa Tanzanian anayeweza kuchezea timu ya taifa ya kongo,

Huyu ndiye mwinyi zahera, kocha wa yanga MPENDA SIFA

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pia hakuna mchezaji w kongo anayeweza kuchezea taifa stars hizi no nchi mbili tofauti
 
Kama umeshawahi kutana na mtu yoyote bar, akijiita papaa au pedeshzee basi utaona masifa yake, akiwa na Elfu30 utafikiri ana laki.

Basi hizo sifa zinatokana na wakongo na ndio maana wanajiita majina ya kikongo

Je umeshawahi msikia kocha wa yanga, mwinyi zahera akipenda misifa,

umeshawahi muona akiponda viwanja vyetu vya michezo utafikiri kongo kuna viwanja kama vya ulaya? umeshawahi msikia akiwaongelea wachezaji wa liking, wanavyolipwa vizuri na vilabu vya kongo?. Anasema timu za kongo zinalipa vizuri sana kuliko hapa kwetu, ila anasahau kuwa yeye ameondoka huko kongo kwenye timu zinazolipa vizuri kaja Tanzania kwenye timu isiyolipa kabisa. Anasema hakuna mchezaji anayecheza hapa Tanzanian anayeweza kuchezea timu ya taifa ya kongo,

Huyu ndiye mwinyi zahera, kocha wa yanga MPENDA SIFA

Sent using Jamii Forums mobile app
Misifa yake, je wewe na familia yako inakuathiri nini?
 
wacongo ndio walivyo hivyo, sijui kwa nin yanga wanamuamin huyu tapeli timu haifundishi kazi yake kwenye matamasha ya kuchangia yanga
 
Mbumbumbu bwana Kwa hiyo Tp Mazembe inalipa mishahara sawa na Simba?! Kwa hiyo Ausems kuja kufundisha Bongo ina maana Belgium hawalipi vizuri?! Aisee aibu naona mimi.
 
Mshahara anaolipwa Makasu au Litombo sawa na anaolipwa Kabere sijui Mabere au Pawa?
 
Kama umeshawahi kutana na mtu yoyote bar, akijiita papaa au pedeshzee basi utaona masifa yake, akiwa na Elfu30 utafikiri ana laki.
Basi hizo sifa zinatokana na wakongo na ndio maana wanajiita majina ya kikongo
Je umeshawahi msikia kocha wa yanga, mwinyi zahera akipenda misifa,
umeshawahi muona akiponda viwanja vyetu vya michezo utafikiri kongo kuna viwanja kama vya ulaya? umeshawahi msikia akiwaongelea wachezaji wa liking, wanavyolipwa vizuri na vilabu vya kongo?. Anasema timu za kongo zinalipa vizuri sana kuliko hapa kwetu, ila anasahau kuwa yeye ameondoka huko kongo kwenye timu zinazolipa vizuri kaja Tanzania kwenye timu isiyolipa kabisa. Anasema hakuna mchezaji anayecheza hapa Tanzanian anayeweza kuchezea timu ya taifa ya kongo,
Huyu ndiye mwinyi zahera, kocha wa yanga MPENDA SIFA
Sent using Jamii Forums mobile app
Halafu ameikala mu-Tanzanie mashiku mingi lakini hayuaki kiswahili muzuri.Kichwa yake imeikala saa vile likakuu.
 
Kama umeshawahi kutana na mtu yoyote bar, akijiita papaa au pedeshzee basi utaona masifa yake, akiwa na Elfu30 utafikiri ana laki.

Basi hizo sifa zinatokana na wakongo na ndio maana wanajiita majina ya kikongo

Je umeshawahi msikia kocha wa yanga, mwinyi zahera akipenda misifa,

umeshawahi muona akiponda viwanja vyetu vya michezo utafikiri kongo kuna viwanja kama vya ulaya? umeshawahi msikia akiwaongelea wachezaji wa liking, wanavyolipwa vizuri na vilabu vya kongo?. Anasema timu za kongo zinalipa vizuri sana kuliko hapa kwetu, ila anasahau kuwa yeye ameondoka huko kongo kwenye timu zinazolipa vizuri kaja Tanzania kwenye timu isiyolipa kabisa. Anasema hakuna mchezaji anayecheza hapa Tanzanian anayeweza kuchezea timu ya taifa ya kongo,

Huyu ndiye mwinyi zahera, kocha wa yanga MPENDA SIFA

Sent using Jamii Forums mobile app
Tutajie jina la huyo mchezaji wa tz ambaye anaweza kuichezea Congo na anaenda kucheza mamba ya nani.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom