Zakhia Meghji, Kuna anayemuelewa sasa kweli?

mkuu. hivi unalalaga saa ngapi au wewe ni mlinzi nyumbani kwa dr.slaa?
Kwani wewe unafanya nini hapa?Au upo busy kusugua kinyeo na makalio kwa mawe na michanga km ilivyo jadi yenu kuchamba.. ....wewe ni wa zama za mawe tuu..maisha yako ni aibu ya kutosha kukufanya uwe busy nyamazisha wengine.
 
nyie wehu acheni kumtukana mama wa watu , mmelaaniwa nyie viazi,... mnawadhalilisha wanawake wote mpaka mama zenu. mshindwe na mlegee laanakum nyie
CCM ni bidhaa wote tena zeny migogoro kw kuuzwa kwa watu wengi na mara nyingi
 
nyie wehu acheni kumtukana mama wa watu , mmelaaniwa nyie viazi,... mnawadhalilisha wanawake wote mpaka mama zenu. mshindwe na mlegee laanakum nyie


ukweli unauma? msuguo ndo unafanya ccm wamshikilie mpaka leo!
hakuna anachochangia hapo bungeni zaidi ya bendera fuata upepo!
 

Mkuu, naona unaandika kwa HEKIMA iliyotukuka kutoka kwa babu yako Padre mzinzi anayeejiita Dr.,...Dr. Slaa
 
nyie wehu acheni kumtukana mama wa watu , mmelaaniwa nyie viazi,... mnawadhalilisha wanawake wote mpaka mama zenu. mshindwe na mlegee laanakum nyie

Usitume kigezo cha wanawake kama mtaji wako hapa anazungumziwa huyo mama mzigo hapo bungeni anawakilisha kitu gani au anawakilisha wacomoro wenzake? na kama unamuona ni mtu mwema huyo mama ana maghorofa hapo kajenga kwa pesa za walipa kodi... hakuwa na pesa kiasi hicho cha kumiliki hayo majumba kwa pesa halal atakujaje kumjibu Allah wenu?
 

rubbish...
 
Wengine huita vitanda maalum!

inaweza kuonaekana ni majungu lakini ukweli upo ktk hili. Hapa hawaponi wapinzani wala chama tawala. Wabunge viti maalum wengi wanapata ubunge vitandani. mifano hai mingi sana sanasana CCW na CDM
 
Tangua anze kuongea sasa live Tbc na startv kwenye bunge la katiba, na kusema anajenga hoja

Je kuna mtu kamuelewa hoja yake!
kwani nimeshindwa kumuelwa msaada!

Alijichanganya sana yule koko! imagine eti anajenga hoja kwa kusema zile chaguzi nyingine zoooote ni sawa kutumia kura ya siri kwa kuwa ni "personal; mtu na mtu" lakini hili la katiba lipigiwe kura ya wazi kwa kuwa ni issues! ni mambo! utamuelewa vipi mtu kama huyo!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…