Zali la mentali

Hammy Js

JF-Expert Member
Joined
Sep 20, 2017
Posts
3,054
Reaction score
3,263
Leo nimetoka zangu matembezini ghafla nikamuona msichana mkaliiiii kwa mbele,nikamsimamisha akasimama.
Mimi: Mambo Dada?
Dada: Pouw, enhe shida?
Mi nikaanza kuimbisha,huwezi amini kabla hata sijaongea sana yule dem akasema "Maindi yuwa biznes" akaanza kuondoka
Nkasema dah zali gani hili mtoto kanielewe mpak anataka anifungulie biznes, naona itakuwa anaenda kwake kuniletea mtaji mana nmemuuliza ni biznes gani anataka anifungulie lakin inaonesha kama ana haraka sana. Nipo namsubiri hapa. Mungu mkubwa aseeh
 
Endelea kumsubiri tu ila ukiona jua limezama jua ndo bye bye hiyo bahati haiji x2
 
Kwani we si umeambiwa "maindi yuwa biznes"!. Anamaanisha biashara ya maindi ndiyo atakufungulia. usjali mkuu...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…