Elections 2010 Zama Mpya: Blogu Yamu-endorse Dkt Slaa


Ukikaa on topic mara nyingi kugundua kitu vigumu, kugundua kitu kipya mara nyingi ni muhimu u transcend topic.

Ndiyo matatizo yetu, tunakariri vitu, curiosity zero. Halafu tunategemea tutafanyaje kitu kipya ?
endeleo, elimu ni mchakato wa kuendeleza
Kama hizo syllabus ni Rosetta Stone ya knowledge kwa nini zinabadilishwa kama nguo ?

Eti unasoma past papers, unasoma au unakariri wewe ? Unasoma ili ushinde mitihani ?

Mifumo ya tabia inayopalilia maendeleo inataka watu wabunifu, waasi. Elimu ni sehemu muhimu ya kupalilia hizi tabia. Lakini elimu hii ni lazima iwe aina ya elimu inayomfanya mwanafunzi agundue ukweli wake yeye mwenyewe, siyo elimu inayomlisha kwa kijiko huyu mwanafunzi kwamba "ukweli ni huu" na "mambo ya muhimu ni haya". Katika mifumo ya tabia inayodumaza maendeleo, elimu ni mchakato wa kuendeleza mapokeo tu (dogma) na kutoa wafuasi na waumini tu, bila ya kutoa kitu kipya.

Mimi sikutaka kuwa mfuasi na muumini tu, nilitaka kujua ukweli kwa juhudi zangu mwenyewe.

Hili ni moja ya matatizo makubwa ya mfumo wetu wa elimu.
 
Tafsiri ya Kiswahili ya maneno yafuatayo:

Potential
Effective
Velocity
Momentum
Mutatis mutandis
 
Mazee blogger,

How do you say "endorse" in Swahili ? If you want to tell people that you are knowledgeable and influential enough to officially endorse a presidential candidate, you should at least have a working command of their language.

Wewe bana da! Kazi yako ni kukosoa English tu za wenzio. Hivi wewe na English yako umefanyia hili taifa nini huyu mwenzako ameonyesha ujasiri akadhubutu kufanya kitu. wewe ni kusema kila siku hapa adverb, hapa verb, hapa adjective hii ni mchuzi hii ni embe. Si uende chuoni ukawe mwalimu?

Au wewe na wenzio mnojidai mnaijua sana luga ya wakoloni basi anzisheni thread hapa ya watu kujifunza lugha ya wakoloni na mimi nitakuwa mwanafunzi wenu. Sometimes its good to hide ur pride and ego over what u know......
 
:focus::closed_2::closed_2::closed_2::closed_2::focus::focus::focus::focus:
 

"Bana" ndiyo kitu gani ? Wengine tatizo lenu wala si Kiingereza, hata Kiswahili mnaboronga.

Kwa nini unafikiri kila mtu anafikiria "kulifanyia kitu taifa" ?

Katika yote niliyosema wewe unaona kukosoa Kiingereza tu? Huwezi kuelewa kukosoa lugha kunaweza kuwa ni zaidi ya kukosoa lugha, kunaweza kuwa na maana zaidi kwa kutaka utamaduni wa watu wanaoandika vitu rasmi kuwa makini zaidi?

Hivi wewe na hao ma bloggers wako ni nani mpaka muwe juu ya misingi ya kukosoana ?

Kwanza unasema kama nataka kufundisha Kiingereza niende chuoni nikawe mwalimu, halafu unasema unataka nifungue uzi mpya wa kufundisha kiingereza hapa JF, chagua moja, mbona unajikanganya ?

Unataka nifungue uzi mpya wa kufundisha Kiingereza hapa JF au unataka niende kufundisha Kiingereza chuoni ?

Tukisema wewe ndiye huwezi kuficha ubatili wa nafsi yako kwa kutokubali wewe na genge lako kukosolewa utaweza kubisha ?
 

Facts sell Story tell
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…