Tafsiri ya moja kwa moja sidhani kama utapata inayoridhisha na ndio maana nikasema ni muhimu sana kuangalia muktadha la sivyo vitu vitakuwa lost in translation...
Yea I agree with you mkuu na si siku zote neno la Kiingereza linaweza kuwa na direct translation ya Kiswahili and vice-versa yenye conservative maening of just one word. Think of Candidate, simply that can be translated conservatively as "Mgombea"
Wala sitafuti tafsiri ya moja kwa moja, swala la ku endorse in this context lenyewe ni geni kwetu kwa hiyo sitegemei kuwepo neno linalomatch exactly.
Ila kuna "the closest word" ambalo bado sijaliona hapa.
Hata hilo "the closest word" lako litakuwa debatable vilevile....kwa hiyo so much for knocking mine....
Isn't debate the point of a forum ? Kama tunaleta vitu visivyo na debate what's the point ?
Wala sitafuti tafsiri ya moja kwa moja, swala la ku endorse in this context lenyewe ni geni kwetu kwa hiyo sitegemei kuwepo neno linalomatch exactly.
Ila kuna "the closest word" ambalo bado sijaliona hapa.
Sasa kwa nini unauliza tafsiri ya neno "endorse" kwa kiswahili ihali unafahamu suala hili ni geni kwa watanzania??? Probably that is why jamaa wameamua kuliacha hivyo hivyo kwa kiinglish. Na possibly this time litaeleweka na kukubalika. Kama ilivyokuwa kwa maneno kung'atuka, kingunge, tapeli, TV, ofkozi, pati,ac etc.
Lakini hili halimaanishi kwamba hatuna maneno yanayoweza kuwa yanafaa kuliko mengine, na kutumia neno lenye ku match 80 wakati kuna neno linalo match 90% si accurate.
Lipi hilo linalo match 90% na kwa mujibu wa nani? wa Kiranga?
The established laws of linguistics.
The established laws of linguistics.
Vipi ungesema 'kwa mujibu wa kanuni za isimu'? Nadhani ingependeza zaidi....
Du! mkuu sasa this is too deep, unaweza kutufafanulia with the so called established laws of linguistics neno "tapeli" na maana yake?
Vipi ungesema 'kwa mujibu wa kanuni za isimu'? Nadhani ingependeza zaidi....
C'moon buddy how did u remember that? sasa hii kweli ni debate, sorry "mdahalo"
That wouldn't be entirely approaching accurate, labda "kwa mujibu wa kanuni za lugha" "isimu" is unnecessarily pretentious, does not add value, could prove inaccessible and is not bound to language.
That wouldn't be entirely approaching accurate, labda "kwa mujibu wa kanuni za lugha" "isimu" is unnecessarily pretentious, does not add value, could prove inaccessible and is not bound to language.
All disadvantages, no advantage.
Du!!!!! mshikaji inaonyesha wewe ni mtu wa ligi kinoma, I am just wondering if it is a face to face converstaion!
Inashangaza mtu anayekosoa matumizi ya mwenzake ya neno 'endorse' kutumia maneno ya Kiingereza ambayo yana tafsiri za Kiswahili zinazoeleweka!!