Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 94,296
- 122,540
Linguistics = isimu
From Merriam Wester: Linguistics - the study of human speech including the units, nature, structure, and modification of language
Therefore linguistics (isimu) has everything to do with language/ lugha. So keep on splitting hairs ma dude...
Cheki hii kutoka Wikipedia ya Kiswahili:
Isimu (au "maarifa ya lugha") ni sayansi inayochunguza lugha. Imegawiwa katika matawi mbalimbali:
Chanzo: Isimu - Wikipedia, kamusi elezo huru
- fonetiki kuhusu sauti zinazotolewa na binadamu
- fonolojia kuhusu mfumo wa sauti katika lugha fulani
- mofolojia kuhusu mfumo wa maneno
- sintaksi kuhusu mfumo wa sentensi
- semantiki kuhusu maana
Is your source " Merriam Wester" ?
Is this the best you can do ?
Halafu umetuambia linguistics ina maana ya isimu, which was never my original objection, my initial objection was isimu was not bound to linguistics.
Full circle ina nyuzi 360, lakini si lazima kila umbo lenye nyuzi 360 liwe ni full circle, hata a perfect square ambayo si full circle nayo ina nyuzi 360.
Unaweza kutoa maana ya kiarabu ya isimu, maana Kiswahili kimetohoa hili neno kutoka kiarabu, ukielewa hii maana utakuwa katika position ya ku appeciate kuondoa pretension hii. Hata ukisema isimu inaishia kwenye lugha, kuna hizo objections nyingine nilizozitoa hapo juu, you don't use a more complex word if you can say the same thing with a simpler word.
Unless you are in a Kiranga linguistic singularity that is.
you don't use a more complex word if you can say the same thing with a simpler word.
Kwa kifupi, isimu, katika broad interpretation, ni mfumo, na si lazima uwe mfumo wa lugha.
Ndiyo isimu hii hii iliyopelekea Kiingereza kuwa na Social-ism Capital-ism etc, na si lazima iishie katika lugha. Hii interpretation ya Kiswahili kwamba isimu ni mfumo wa lugha ni narrow interpretation kwa sababu ya ufinyu wa watafsiri na uchanga wa matumizi ya maneno yasiyotumika sana katika Kiswahili
Look who's talking....:becky:
Unless you are in a Kiranga linguistic singularity that is.
Isimu ni sayansi inayochunguza lugha. Isimu sio mfumo unless unataka kulazimisha na ku-re-define maana yake.
Hayo maneno uliyoyatolea mfano kwani sio "lugha"? Kiranga bana....unaanza kuchekesha sasa. Ujamaa, ubepari, ukabaila, ujima, n.k. yote ni maneno na lugha ni maneno na maneno ndio hutengeneza lugha. Unabisha?
linguistics { Swahili : isimu ya lugha }[ derived: Arabic ]
Last time I checked, Socialism na Capitalism si lugha, ni mifumo ya kisiasa, pia Judaism na Buddhism si lugha, ni mifumo ya kidini.
Tafuta definition za maneno hayo manne katika "Merriam Wester" yako uone kama watakwambia hizi ni lugha. Lakini kitu chochote chenye -ism utaambiwa ni mfumo.
Kwa hiyo isimu kuitafsiri kama mfumo wa lugha ni narrow translation, isimu katika broad translation ni mfumo,
ndiyo maana hata kamusi project wametoa tafsiri ya linguistic kama "isimu ya lugha" kama isimu ingekuwa tayari ina maana ya mfumo wa lugha kama unavyodefine wewe, kwa nini warudie tena kutafsiri "linguistics" kama "isimu ya lugha" ? Hii si redundancy ?
Mimi nimesema Socialism na Capitalism ni "maneno" na maneno ndio lugha yenyewe. Au unakataa kuwa "socialism" sio neno linaloelezea mfumo wa kisiasa? Au pia unakataa kuwa essence ya lugha si "maneno"?
Hapa nadhani hatuelewani sasa. Sijakataa popote pale kuwa hiyo si mifumo ya kisiasa. Ni mifumo inayoelezwa kwa maneno na maneno ndio kiini cha lugha. Sijui unanipata hapo?
Ni nani aliyeitafsiri isimu kama mfumo wa lugha? Mimi nimesema ni sayansi inayochunguza lugha kama ulivyoona kwenye hicho kipande kutoka Wiki.
Kama kuna mahali nimesema kuwa isimu ni "mfumo" tafadhali nionyeshe maana sikumbuki kusema hivyo. Na hao watu wa kamusi project wamechemsha. Linguitstics kwa kiswahili ni isimu na isimu ni sayansi inayochunguza lugha. Kwa hiyo linguistics haiwezi kuwa ni "isimu ya lugha" kama tafsiri kwa Kiswahili.
Moderator
Je kuna uwezekano wa kuhamisha comments bila kuhamisha thread. Teh teh teh Huu mdahalo wa lugha safi sana ila umepoteza hata mauzui ya thread. Aliyeanzisha yote haya ni ENDORSE.
Sasa unakoelekea ni kukataa kwamba sayansi si mfumo.
Na wewe ulichofanya ni kuruka ukweli wa kwamba isimu si sayansi.....
Is your source " Merriam Wester" ?
Is this the best you can do ?
Halafu umetuambia linguistics ina maana ya isimu, which was never my original objection, my initial objection was isimu was not bound to linguistics.
Full circle ina nyuzi 360, lakini si lazima kila umbo lenye nyuzi 360 liwe ni full circle, hata a perfect square ambayo si full circle nayo ina nyuzi 360.
Unaweza kutoa maana ya kiarabu ya isimu ( isim ), maana Kiswahili kimetohoa hili neno kutoka kiarabu, ukielewa hii maana utakuwa katika position ya ku appeciate kuondoa pretension hii. Hata ukisema isimu inaishia kwenye lugha, kuna hizo objections nyingine nilizozitoa hapo juu, you don't use a more complex word if you can say the same thing with a simpler word.
Unless you are in a Kiranga linguistic singularity that is.
Unajua kuna makutano gani kati ya isimu ya Kiswahili, isim ya kiarabu na -ism ya kiingereza ?
Kwa kifupi, isimu, katika broad interpretation, ni mfumo, na si lazima uwe mfumo wa lugha. Ndiyo isimu hii hii iliyopelekea Kiingereza kuwa na Social-ism, Capital-ism Juda-ism Buddh-ism etc, na si lazima iishie katika lugha. Hii interpretation ya Kiswahili kwamba isimu ni mfumo wa lugha ni narrow interpretation kwa sababu ya ufinyu wa watafsiri na uchanga wa matumizi ya maneno yasiyotumika sana katika Kiswahili
Ndio JF ya sasa ndugu.Topic imebakwa.
Full circle ina nyuzi 360, lakini si lazima kila umbo lenye nyuzi 360 liwe ni full circle, hata a perfect square ambayo si full circle nayo ina nyuzi 360.