Elections 2010 Zama Mpya: Blogu Yamu-endorse Dkt Slaa

Huyu inabidi arudi shule ya msingi kujifunza upya geometry.

Ndiyo type ya watu tunao deal nao, yaani mtu kama huyu unajisumbua kutoa Hegelian dialectics halafu yeye hata hajui kwamba square inaweza kupimwa kwa nyuzi.

Eti mie nikafikiri nina simplify mambo kwa kuleta elementary geometry.Hesabu ni ugonjwa wa kitaifa Tanzania.

Unaona kazi yetu ilivyo ngumu hapa?
 
hata rectangle pia ni nyuzi 360 🙂

Naona umepata kazi ya kufundisha elementary geometry, and to think that I was trying to take this to Non-Euclidean Geometry !
 
Narudia tena huwezi kupima umbo la square kwa nyuzi ila unapima angle kwa nyuzi tofautisha, hakuna kiswahili swahili hapo. Hebu tuambie square ya L:6 W:6 ina area ya nyuzi ngapi.
 
Narudia tena huwezi kupima umbo la square kwa nyuzi ila unapima angle kwa nyuzi tofautisha, hakuna kiswahili swahili hapo. Hebu tuambie square ya L:6 W:6 ina area ya nyuzi ngapi.

:closed_2:
 
Narudia tena huwezi kupima umbo la square kwa nyuzi ila unapima angle kwa nyuzi tofautisha, hakuna kiswahili swahili hapo. Hebu tuambie square ya L:6 W:6 ina area ya nyuzi ngapi.

Huwezi kupima umbo la square kwa nyuzi? Huwezi kupima umbo kwa nyuzi bali unapima angle ?

This is like saying huwezi kupima ujazo wa nyumba kwa cubic meters, unapima ujazo wa vyumba kwa cubic meters, hilarious.

Halafu, umbo la duara halina angle, je unaweza kulipima umbo la duara kwa nyuzi ?

Ni kama kuuliza kuna nyumba haina vyumba, je unaweza kuipima kwa cubic meters ?

Mstari mnyoofu hauna angle, je unaweza kuupima mstari nyoofu kwa nyuzi ?

Rudi Shule ya msingi ujifunze elementary geometry.
 
nauliza mahakama ya kadhi ipo mkatika ilani ya chama gani?
 
Huwezi kupima umbo la square kwa nyuzi, umbo la duara halina angle, je unaweza kulipima umbo la duara kwa nyuzi ?

Mstari mnyoofu hauna angle, je unaweza kuupima mstari nyoofu kwa nyuzi ?

Rudi Shule ya msingi ujifunze elementary geometry.
Nilishakuambia wewe ni illiterate wa maths unafikiri mstari mnyoofu(straight line) hauwezi kupimwa kwa nyuzi, kwa taarifa yako sraight line has 180 degrees.

This is a straight angle
 
Nilishakuambia wewe ni illiterate wa maths unafikiri mstari mnyoofu(straight line) hauwezi kupimwa kwa nyuzi, kwa taarifa yako sraight line has 180 degrees.

This is a straight angle

Wapi nimesema mstari mnyoofu hauwezi kupimwa kwa nyuzi? naomba unionyeshe. Inaonekana comprehension yako ndogo.

Halafu hakuna kitu kama "illiterate wa math" mtu asiyejua math ni "innumerate"

Rudi shule.
 
Kiranga eeh hebu acha longolongo na ligi zisizo na kichwa wala miguu. Weka hapa hilo neno lako tulijadili na tuone kama linafaa kuwa tafsiri ya "endorse".
 
Kiranga eeh hebu acha longolongo na ligi zisizo na kichwa wala miguu. Weka hapa hilo neno lako tulijadili na tuone kama linafaa kuwa tafsiri ya "endorse".

Kwangu neno linalorandana kabisa na ku endorse katika context hii ni kupendekeza . Closest match.
 
Wapi nimesema mstari mnyoofu hauwezi kupimwa kwa nyuzi? naomba unionyeshe. Inaonekana comprehension yako ndogo.
Umeiliza hapa
Mstari mnyoofu hauna angle, je unaweza kuupima mstari nyoofu kwa nyuzi ?
nikakujibu hivi

This is a straight angle

We kiranga nakwambia endelea na ungwini wako huku ni kama unakimbilia choo cha kike kama hujui hesabu ninaweza kukuita wewe ni illitrate au layman wa mathematics sina kiswahili kingine.
 
Kwangu neno linalorandana kabisa na ku endorse katika context hii ni kupendekeza . Closest match.

ngabu si nilikwambia mie huyu mtu atakuja na kupendekeza .........🙂
 
ngabu si nilikwambia mie huyu mtu atakuja na kupendekeza .........🙂

Yawezekana uliongea naye pembeni eeh? Lol

Hata hivyo kupendekeza sio closest match. Bado nasimamia 'kuunga mkono'

Wewe lako ni lipi? Au Kiranga akishasema kwako hakuna mjadala?
 
Wewe umesema huwezi kupima umbo kwa nyuzi, unapima angle kwa nyuzi.

A circle has 360 degrees (nyuzi) na kwa mujibu wako wewe, huwezi kupima umbo kwa nyuzi, unapima angle tu kwa nyuzi, sasa unaweza kutuonyesha hiyo angle ya circle yenye 360 degrees ili tujue kwamba tunaposema kwamba a circle has 360 degrees tunachoongelea ni degrees za angle na si za umbo zima la circle ?
 
"Gazeti la Tanzania Daima "linampendekeza" Dr. Slaa kwenye ugombeaji wake wa uraisi"

"Gazeti la Tanzania Daima "linamuunga mkono" Dr. Slaa kwenye kwenye ugombeaji wake wa uraisi"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…