Lanlady
JF-Expert Member
- Feb 27, 2019
- 1,836
- 6,303
Iko hivi, utakuka mtu amekosea na anahitaji kurekebisha alipokosea lakini mtu huyo anabagua aina ya watu wa kumwambia ukweli.
Hii ipo kuoanzia ngazi za familia, jamii na kitaifa. Kwa mtu binafsi, kiongozi au taasisi.
Unaweza kuthubutu kwa kujikaza kumweleza mtu madhaifu fulani, ila uwe tayari kukutana na kauli kama vile "huo ni wivu tu, anatamani hii nafasi angepewa yeye, ana chuki.
Na kama huyo kiongozi ni wa dini tofauti na yako basi utasikia suala la udini. Swali ni je, tutaweza kufika tunakotarajia kufika pasipo kurekebishana au kukosoana?