libeva
JF-Expert Member
- Mar 25, 2015
- 4,465
- 3,615
Boss wa TFF zama zake zinaelekea ukingoni kwa kutumia madaraka yake vibaya kwa kuendesha TFF na kuichezesha segere atakavyo ni suala la muda tu atang'oka si ajabu akawa anatokea Segerea, ni suala la muda tu amegusa kwenye mfupa wenye nyama na kaingia king mwenyewe.