Zama za Wallace Karia zimewadia

libeva

JF-Expert Member
Joined
Mar 25, 2015
Posts
4,465
Reaction score
3,615
Boss wa TFF zama zake zinaelekea ukingoni kwa kutumia madaraka yake vibaya kwa kuendesha TFF na kuichezesha segere atakavyo ni suala la muda tu atang'oka si ajabu akawa anatokea Segerea, ni suala la muda tu amegusa kwenye mfupa wenye nyama na kaingia king mwenyewe.
 
We unajua pale kajiweka mwenyewe kama uchaguzi wa serikali za wanafunzi tu vyuoni serikali inaweka vibaraka wao je TFF taasisi kubwa wataacha kutoa maagizo yao nyie utopolo endeleeni kujidanganya karia yupo sana ili alidhibiti lile domo la msekule lisilo na break.
 
sijawahi kumkubali huyu jamaa tangu aingie, na hakuna sababu yeyote ya msingi, ila huwa simkubali. wamwondoe tu.
 
Manyani mumechafukwa yaani sope kupewa haki yake ndiyo upupu wote huu
 

Tulia wewe dawa imuingie vizuri huyo bwege [emoji23]
 
🤣🤣🤣
 
Pamoja na kunywa wote juice lakini zungu pori kapigwa nyundo
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaaaaah.
 
Huyo manara mbona mnamnyenyekea kama ndago yenu sijui ndagu au hirizi
 
rais utakuw wewe??[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji39]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…