Zama za zamani zinarudi

Zama za zamani zinarudi

Background Check

JF-Expert Member
Joined
Jun 28, 2019
Posts
341
Reaction score
498
ZAMA ZA ZAMANI
Ilifika wakati zama za zamani zikarudi,
wala siyo vile vunubi makanisani
Bali mtindo wa maisha ya duniani
Ule ukweli ukawa uongo na uongo ukawa ukweli

Matendo ya mbinguni wakahadithia waumini
Wako walioamini lakini hawakusadiki
Dunia ya duniani ikakatiza duniani
Hapo hata mhubiri ilimshinda kutafsiri.

Nina imani na yule mama
Yule aliyeachiwa lawama
Yule aliyetuweka sawa
Nina imani naye........
 
IMG-20210401-WA0089.jpg
 
Back
Top Bottom