zamadamu, na uasilia wa viumbe wanadamu kugeuka toka manyani

Makene

JF-Expert Member
Joined
Nov 1, 2010
Posts
1,475
Reaction score
282
miongoni mwa mambo nisiyoweza kuelewa ni nadharia ya mageuzi. Nadharia hii ya kisayansi naiona kama jambo lililopitwa na wakati. Katika nyakati hizi za maendeleo ya kisayansi tuliyofikia haiingii akilini kuendelea kufikiri kuwa jamii ya aina binadamu ilitokana na jamii ya viumbe nyani.
Kama hivyo ndivyo ilivyo mbona hakujatokea jamii nyingine iliyo kati ya nyani na binadamu? Na hatuoni badiliko toka jamii binadamu kuelekea kiumbe kingine bora kuliko jamii ya sasa ya binadamu.
Mi naona nadharia hii kuwa ya kiwendawazimu kabisa.
Kila jamii inaendelea kuwa kama ilivyokuwa karne na karne. Tofauti za mambo madogo ya kimaumbile na tabia zinatokea kwa jinsi jamii hizi zinavyofanya jitihada ya kuendana na mazingira zinazojikuta zikiwemo, lakini si mabadiliko kuelekea kuwa kuwa jamii tofauti.
Kuamini nadharia hii ni sawa na kukubali jibu la mtoto anayesema akikuwa angependa kuwa tembo, tokana na kukosa ujuzi.
 

sio wewe peke yako
hata mie hii imegoma kabisa na huwa nina mashaka sana na upeo wa wasomi, waalimu, n.k kuendeleza kuwakaririsha ujinga watoto kwa kitu ambacho ushahidi wake ni wa kufikirika.
 
Somo la History ni la kufutwa katika mtaala wa elimu Tanzania kwani halina maana yoyote zaidi ya uzushi usio na udhibitisho.

Ni bora sana ktk mtaala wa elimu wakaingiza somo la katiba na sheria ili kumuwezesha kila mtanzania kujua haki yake kikatiba na kuijua sheria pamoja na kuishi kwa kufuata sheria.

Tofauti na ilivyo hivi sasa, unashitakiwa na kuhukumiwa bila kujua kama ulilolifanya ni kosa kisheria. Mfano kupiga picha na LEMA.
 

Ahh,mi zamaani nilishawadharau kwani nilipowauliza,kama ndo hvyo mbona hadi leo nyani,sokwe bado wapo,kwa nini wasingekuwa binadamu,wanajiuma uma
 
Ahh,mi zamaani nilishawadharau kwani nilipowauliza,kama ndo hvyo mbona hadi leo nyani,sokwe bado wapo,kwa nini wasingekuwa binadamu,wanajiuma uma

Na mimi niliuza hivyo hivyo shuleni mwaka 1993 nikiwa darasa la tano.nilijibiwa kiaina.
 
hii kweli watu weusi wametokana na masokwe na manyani na watu weupe ni kizazi cha adam angalia tofauti za akili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…