white wizard
JF-Expert Member
- May 18, 2011
- 8,566
- 13,770
hatimaye yanga yakamilisha ratiba ya michuano ya club bingwa africa,kama kawaida ya timu zetu,huwa hazina jipya kwenye michuano ya kimataifa.chuji alitolewa kwa kadi nyekundu,na zamaleck walikosa penalt!