white wizard JF-Expert Member Joined May 18, 2011 Posts 8,566 Reaction score 13,770 Mar 3, 2012 #1 hatimaye yanga yakamilisha ratiba ya michuano ya club bingwa africa,kama kawaida ya timu zetu,huwa hazina jipya kwenye michuano ya kimataifa.chuji alitolewa kwa kadi nyekundu,na zamaleck walikosa penalt!
hatimaye yanga yakamilisha ratiba ya michuano ya club bingwa africa,kama kawaida ya timu zetu,huwa hazina jipya kwenye michuano ya kimataifa.chuji alitolewa kwa kadi nyekundu,na zamaleck walikosa penalt!
LE GAGNANT JF-Expert Member Joined Jan 20, 2011 Posts 1,241 Reaction score 252 Mar 3, 2012 #2 Yanga, uuwi!