Kimwakaleli
JF-Expert Member
- Apr 16, 2018
- 7,755
- 11,737
Yana uhusiano sana ndo maana hata watu wa Zamani ,waliwaita waliosoma,wataalamu,usidanganye watu na Wala simsimangi kanituma niwape ujumbe na ni mshikaji wangu kinoma,acha kujitetea soma mkuu!Mbona umekuja spidi sana kumsimanga mshikaji.
Elimu sio lazima ya chuo kikuu. Mafanikio hayana uhusiano na shahada wala cheti.
Soma vizuri kichwa Cha habari ndio uanze kulalama. habari,uelewekwahyo unamsema mtu usiejua kesho yake...... endelea na roho ya chuki ipo siku dunia itakushangaza unamdharau leo na yeye anakaza ili asidharaulike kesho
Akili Yao haipo kwenye zege,wanatafuta namna ya kutoka!Mbn weng wamexoma afu kwnye zege tupo nao
Omba wasahihishe heading yote.ALIONA MADAFTARI MAZITO.SASA ANAONA ZEGE JEPESI!Adm.isomeke madaftari aliona mzigo,tafadhali.
Kweli mkuu,nimeona matajiri wengi wanatafuta Walimu wawafundishe elimu !Elimu muhimu
Sawa mkuu,wataiona,uko vizuri.Omba wasahihishe heading yote.ALIONA MADAFTARI MAZITO.SASA ANAONA ZEGE JEPESI!
bado unatumia akili za babako aliyekuaminisha kuwa bila kukremishwa elimu ya wazungu utafeli maisha.Yana uhusiano sana ndo maana hata watu wa Zamani ,waliwaita waliosoma,wataalamu,usidanganye watu na Wala simsimangi kanituma niwape ujumbe na ni mshikaji wangu kinoma,acha kujitetea soma mkuu!
labda ww ndio huelewi nn umeandika ila kuleta andiko la mtu kuona madaftari mzito wangapi wamebadili maisha yao ingali hawajasoma na waliosoma wanawatumikia hio nayo tuiitejeSoma vizuri kichwa Cha habari ndio uanze kulalama. habari,uelewe
Usiwe mjinga na mpumbavu soma kichwa Cha habari na mtiririko vizuri,sijataja mahali mzungu huo ni ujinga wako!Chbado unatumia akili za babako aliyekuaminisha kuwa bila kukremishwa elimu ya wazungu utafeli maisha.
Njoo Kariaako uone watu wanaojua kusoma na kuandika na hawakufika hata kidato cha kwanza wanavyofanya mambo makubwa.
Ita vile akili Yako inakutuma!labda ww ndio huelewi nn umeandika ila kuleta andiko la mtu kuona madaftari mzito wangapi wamebadili maisha yao ingali hawajasoma na waliosoma wanawatumikia hio nayo tuiiteje
Uko sahihi mkuu,huyu ninayemuongelea maisha ya kwao yalikuwa vizuri akawa anazembea kwenda shule!Sawa hata mimi pia kwa elim yngu ndogo ya 4m 4 niko kwny zege coz nataka kupata chochote. Kutokusoma sana mpaka level ya chuo haimanish nilikuwa spnd shule kuna changamoto nyng katk maisha ndo maana inabd 2fanye kaz za kila namna hata hzo saidia fundi ilimrad mkono uende kinywani
Ni kweli,huyu jamaa alikuwa na fursa ila alizembea makusudi wa tumbo Moja waliosoma,wako vizuri!Kwa Tz aliyesoma na asiye soma bora asiyesoma anamaisha mazurialikualiku kwasababu amejikubali na anafanya kazi yoyote bila aibu hata zege,mkuu graduates wanapitia magumu sana acha kabisa