johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Najaribu kukumbuka tu kiapo changu cha uanachama na salamu zetu ndani ya chama wakati ule wa awamu ya kwanza.
Kwanza tuliitana " ndugu" pili tuliamini katika uhai wa chama ndio tulisema " kidumu chama cha mapinduzi" na tatu tuliamini katika uwezo wa mwenyekiti wetu na tulifahamu kuwa yeye ni binadamu ndio tukawa tunasema " zidumu fikra SAHIHI" za mwenyekiti wa CCM.
Nimemsikia mbunge mmoja wa Chadema aliyeko karantini akisema " zidumu fikra za mwenyekiti "......sasa sijajua kama alitaka kuiga ile ya CCM na kukosea au hii ndio salamu yao!
Maendeleo hayana vyama.
Chadema hawataki kuamini kuwa mwenyekiti wao ndio anayekihujumu chama chao.
1. Uchaguzi wa mgombea Urais 2015.
2. Kuwaondoa wabunge bungeni kabla ya uchaguzi mkuu 2020.
Hizo ni hujumaza wazi toka kwa Bwn. Mwenyekiti.
Mbowe mmnamuonea bure huenda wazo zaa kuji qurantee alipewa na wabunge wake, yeye akaaafiki wakakubaliana wote, alafu wachache ambao hawakupinga ndo wamerudi mjengoniNajaribu kukumbuka tu kiapo changu cha uanachama na salamu zetu ndani ya chama wakati ule wa awamu ya kwanza.
Kwanza tuliitana " ndugu" pili tuliamini katika uhai wa chama ndio tulisema " kidumu chama cha mapinduzi" na tatu tuliamini katika uwezo wa mwenyekiti wetu na tulifahamu kuwa yeye ni binadamu ndio tukawa tunasema " zidumu fikra SAHIHI" za mwenyekiti wa CCM.
Nimemsikia mbunge mmoja wa Chadema aliyeko karantini akisema " zidumu fikra za mwenyekiti "......sasa sijajua kama alitaka kuiga ile ya CCM na kukosea au hii ndio salamu yao!
Maendeleo hayana vyama.
Rafiki yenu selasini yu wapi?Najaribu kukumbuka tu kiapo changu cha uanachama na salamu zetu ndani ya chama wakati ule wa awamu ya kwanza.
Kwanza tuliitana " ndugu" pili tuliamini katika uhai wa chama ndio tulisema " kidumu chama cha mapinduzi" na tatu tuliamini katika uwezo wa mwenyekiti wetu na tulifahamu kuwa yeye ni binadamu ndio tukawa tunasema " zidumu fikra SAHIHI" za mwenyekiti wa CCM.
Nimemsikia mbunge mmoja wa Chadema aliyeko karantini akisema " zidumu fikra za mwenyekiti "......sasa sijajua kama alitaka kuiga ile ya CCM na kukosea au hii ndio salamu yao!
Maendeleo hayana vyama.
Imekugusa. Jamaa katumia tafsida kwamba hata mbowe akisema wabunge wa Chadema wale mavi watakulaDaah sio lazima kuandika uzi kama huna cha kuandika!Yaani hapo uzi tayari,bwashee hukui tu?
swaumu kali mkuu.Daah sio lazima kuandika uzi kama huna cha kuandika!Yaani hapo uzi tayari,bwashee hukui tu?
Umefurahi eeeh?Imekugusa. Jamaa katumia tafsida kwamba hata mbowe akisema wabunge wa Chadema wale mavi watakula
Wazo hilo alilitoa Mbowe akishirikiana na mawazo ya kigogo akafikiri atapata sifa na ujiko!Mbowe mmnamuonea bure huenda wazo zaa kuji qurantee alipewa na wabunge wake, yeye akaaafiki wakakubaliana wote, alafu wachache ambao hawakupinga ndo wamerudi mjengoni
Msibani kwa Dr Lamwai!Rafiki yenu selasini yu wapi?
Kama unapata daku ya uhakika hakunaga swaumu bwashee!swaumu kali mkuu.
Sasa una comment ya niniDaah sio lazima kuandika uzi kama huna cha kuandika!Yaani hapo uzi tayari,bwashee hukui tu?
Kumchinja kobe yataka timing bwashee!Jambo moja lakini mnaleta mabandiko mia. Kweli jamaa anawapelekesha hatari!!
Wajumbe wa chadema hawana akili wangekuwa na akili wasingemruhusu dj akisambaratishe chamaSawa kabisa, but yy ndio Walimchagua au unataka kusema ww una akili nyingi kuliko wajumbe wote wa chadema?
No wonder maamuzi ya mwenyekiti wako angeyafanya Mbowe usinge kubaliana nae but kwa vile amefanya wako unaona ni sawa
Kama umeukubali huo msemo basi kwa msemo mwingine wa watoto wa mjini, umekubali kugeuziwa Qibla!!Kumchinja kobe yataka timing bwashee!
Wajumbe wa chadema hawana akili wangekuwa na akili wasingemruhusu dj akisambaratishe chama