johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
- Thread starter
-
- #21
Mgombea urais alikuwa Lowassa wa CCM na mgombea mwenza Hajji Duni Cuf.....usisahau hilo bwashee!Sawa
Ila ukisema hivyo unakuwa hauna hoja, mpaka leo chedema ndio chama ambacho kimepata nafasi ya pili kwenye urais na ubunge na ikiwa na dj
So lete hoja za msingi sio mipasho
Mgombea urais alikuwa Lowassa wa CCM na mgombea mwenza Hajji Duni Cuf.....usisahau hilo bwashee!
Comrade leo mmepima mapapai mangapi?Kama unapata daku ya uhakika hakunaga swaumu bwashee!
Najaribu kukumbuka tu kiapo changu cha uanachama na salamu zetu ndani ya chama wakati ule wa awamu ya kwanza.
Kwanza tuliitana " ndugu" pili tuliamini katika uhai wa chama ndio tulisema " kidumu chama cha mapinduzi" na tatu tuliamini katika uwezo wa mwenyekiti wetu na tulifahamu kuwa yeye ni binadamu ndio tukawa tunasema " zidumu fikra SAHIHI" za mwenyekiti wa CCM.
Nimemsikia mbunge mmoja wa Chadema aliyeko karantini akisema " zidumu fikra za mwenyekiti "......sasa sijajua kama alitaka kuiga ile ya CCM na kukosea au hii ndio salamu yao!
Maendeleo hayana vyama.
Bwashee sisi tunapokea pongezi kutoka duniani kote na za karibuni kabisa ni kutoka USA kwa Trump mwenyewe!Comrade leo mmepima mapapai mangapi?
Chadema ndio dume la mbegu ndio maana maccm mnahenya kwelikweliNajaribu kukumbuka tu kiapo changu cha uanachama na salamu zetu ndani ya chama wakati ule wa awamu ya kwanza.