Zamani dakika za mwishoni ndio za kufunga ila siku hizi ndio za kufungwa

Zamani dakika za mwishoni ndio za kufunga ila siku hizi ndio za kufungwa

bryan2

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2016
Posts
3,323
Reaction score
4,679
Ref:Bristol city 2 Man utd 1
Leicester city 2 man utd 2.

Labda game na Burnley ndio kidogo nimeiona ile Manchester united ya Babu Ferguson,kipindi cha Sir dakika za lala salama ndio zilikua za man utd hata kama unaongoza piga ua zile dakika za mwisho lazima goli zirudi na la nyongeza juu.

Ila siku hizi mambo siyo kabisa sisi ndio tunachapwa dakika za mwishoni wachezaji wameshindwa kujua umuhimu wa kuvaa jezi ya man utd wamekosa nguvu ya kupamabana,kocha wetu naye aache utani wa kujaribu wachezaji/mifumo katika mechi za ligi na badala yake apange kikosi kikali.Tulikua watu wa kukaa viti vya mbele kibandani kwa Mangi au kaunta ila siku hizi tunakaa kule nyuma kabisa hatuna uhakika na kushinda.
 
Sina ham hata ya kuangalia gem za manchester utd siku hizi
Huyu mzee atafanya tuanze kutembea na dawa za kushusha pressure naona hayuko seriaz kabisa.hajui mashabiki tunataka nini vile game la jana manusura boxing day iwe chungu kwetu.
 
Huyu mzee atafanya tuanze kutembea na dawa za kushusha pressure naona hayuko seriaz kabisa.hajui mashabiki tunataka nini vile game la jana manusura boxing day iwe chungu kwetu.
Sio Man U tu hata sisi wengine dakika za mwisho tunaomba mpira uishe maana kama leo Man City na New Castle united. nilikuwa naomba mpira uishe maana jamaa walibadilika kwelikweli,
 
Baba yangu alikua tajiri najivunia utajiri wake, mnajisahau sana mashabiki wa united , football inabadilika sana siku hizi, hakuna kipya anachofanya mourinho saivi zaid ya kuzifunza timu ndogo kupaki basi, tazama konte alivokuja na mfumo ukaonekana murua na kufatwa na timu kadhaa, mtazame mwalimu wa kipekee pep anachokifanya , ila mou analalama anapewa pesa kidogo , huyu jamaa hayuko serious kabisa yani
 
Nimeshangaa sana mou kudai hana wachezaji wa kutosha aliondoka pale chelsea Conte na wachezaji wale wale akabeba kombe,mzee kakosa mbinu mbadala timu haina mapungufu ila ni motisha wachezaji wamekosa kama kuna mgomo wa chinichini kuna magoli wanakosa siyoo kabisa.
 
yaan mkuu siku hz utadhan nimegeuka mgeni wa kienyeji- naiombea man city ipigwe haipigwi. man civy vs new castle hata sijahangaika kuangalia. nilfanya maombi waaapi.
 
yaan mkuu siku hz utadhan nimegeuka mgeni wa kienyeji- naiombea man city ipigwe haipigwi. man civy vs new castle hata sijahangaika kuangalia. nilfanya maombi waaapi.
Mwaka huu kuhusu kombe la EPL nyosha mkono. Hata akifungwa utafungwa zaidi yake.
 
Back
Top Bottom