MUDYTZ Member Joined Jun 29, 2011 Posts 8 Reaction score 0 Jul 5, 2011 #1 Mapenzi katika jamii ya siku hizi, je yana zingatia vigezo na miiko ya wazee wetu wa zamani? Attachments I LOVE U..jpg 21.4 KB · Views: 54
MUDYTZ Member Joined Jun 29, 2011 Posts 8 Reaction score 0 Jul 5, 2011 Thread starter #2 Zamani ili kuwa ni mwiko mwana ume kumwingilia kimwili mwanamke hadi hapo wata kapo funga ndoa je kizazi cha sasa kina zingtia mwiko huo?
Zamani ili kuwa ni mwiko mwana ume kumwingilia kimwili mwanamke hadi hapo wata kapo funga ndoa je kizazi cha sasa kina zingtia mwiko huo?
S Sharo hiphop JF-Expert Member Joined May 17, 2011 Posts 660 Reaction score 104 Jul 5, 2011 #3 Cdhani! Kifupi hakuna, uzungu umeshatumaliza
Dr Lizzy Platinum Member Joined May 25, 2009 Posts 31,009 Reaction score 60,629 Jul 5, 2011 #4 Kwasababu ilikua ni mwiko haina maana haikutokea....tatizo ni kwamba zamani ilikua haifanyiki kwa uwazi kama sasa hivi!
Kwasababu ilikua ni mwiko haina maana haikutokea....tatizo ni kwamba zamani ilikua haifanyiki kwa uwazi kama sasa hivi!
Sizinga Platinum Member Joined Oct 30, 2007 Posts 9,374 Reaction score 6,857 Jul 5, 2011 #5 ujue wengi hapa ni .com labda utuambie wazee walifanyaje mpaka tuwaige?
Chris_Mambo JF-Expert Member Joined Aug 11, 2010 Posts 595 Reaction score 122 Jul 7, 2011 #6 Watu wanaiga umagharibi sana. Mtu tangu akiwa shule ya msingi, tayari anakuwa na girl/boyfriend. Kwa hali hiyo unadhani maadili yatatoka wapi?
Watu wanaiga umagharibi sana. Mtu tangu akiwa shule ya msingi, tayari anakuwa na girl/boyfriend. Kwa hali hiyo unadhani maadili yatatoka wapi?