Zamani mpaka siku hizi

MUDYTZ

Member
Joined
Jun 29, 2011
Posts
8
Reaction score
0
Mapenzi katika jamii ya siku hizi, je yana zingatia vigezo na miiko ya wazee wetu wa zamani?
 

Attachments

  • I LOVE U..jpg
    21.4 KB · Views: 54
Zamani ili kuwa ni mwiko mwana ume kumwingilia kimwili mwanamke hadi hapo wata kapo funga ndoa je kizazi cha sasa kina zingtia mwiko huo?
 
Kwasababu ilikua ni mwiko haina maana haikutokea....tatizo ni kwamba zamani ilikua haifanyiki kwa uwazi kama sasa hivi!
 
ujue wengi hapa ni .com labda utuambie wazee walifanyaje mpaka tuwaige?
 
Watu wanaiga umagharibi sana. Mtu tangu akiwa shule ya msingi, tayari anakuwa na girl/boyfriend. Kwa hali hiyo unadhani maadili yatatoka wapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…