Zamani Mwalimu Nyerere alimtumbua Waziri tulijiuliza; Waziri kafanya nini Yarabi? Siku hizi inajulikana ni makandokando tu

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Ilikuwa unamsikia Suleiman Kumchaya au Jacob Tesha kwenye Taarifa ya Habari RTD kwamba Rais Nyerere amemfuta kwenye Baraza la Mawaziri Waziri Naniliu

Hapo Ndio upekuzi wa Sukununu unaanza kufuatilia huyo Waziri kafanya kosa gani

Siku hizi Mawaziri Wana makandokando kibao kiasi kwamba akitumbuliwa hakunaga Mwananchi atamuhurumia

Mlale Unono 😀
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…