Zamani nilikuwa nashaangaa unafikaje 30 huna nyumba!

πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ndo wewe sasa huyo una miaka 30 na huna nyumba wala gari
 
  • Hahaha!!!
  • Nilikuwa nikisikia mtu amefariki ana miaka 30 hivi au arobaini naona ameishi miaka mingi, na ametimiza malengo
  • Nimeifikia, na mchezo unanielemea
 
Chama chetu cha CUK Baada ya katiba Mpya kupatikana na kupewa ridhaa kuongoza nchi,kitahakikisha vijana wa umri wako wanatimiza ndoto ZAO mapema kabla hawajazeeka!!


Kwakuwa madini yote tunayo tutaanzisha VIWANDA vya magari Hapa nchini, Hivyo yatashuka Bei na mtanunua bei ya chini!jiandae kuwa mwanachama!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…