Zamani nilipoifahamu JamiiForums, Nilijua ni mtandao wa CHADEMA.

mcTobby

JF-Expert Member
Joined
Feb 16, 2018
Posts
7,894
Reaction score
22,679
Mwishoni mwa utawala wa Jk awamu ya pili, ndio nipo o level nilijua JF ni ya chadema. Kipindi hicho hoja nasikia zilikuwa za moto ile mbaya. Mpaka maafisa wa serikali nasikia walikuwa hawataki kuusikia kutokana na uozo wao kuanikwa humu. Sasa automatically nikajua this forum na belongs to chadema na members wake ni chadema. I was totally wrong.
 
 
In that time,human rights violences was high.
Ndo maana wanachi walitumia jamii forum kupaza sauti zao kwa govment.
 
 

Attachments

  • 6026553-bf15b8f6f927c72fa16d6bb328a5e41f.mp4
    14.1 MB
In that time,human rights violences was high.
Ndo maana wanachi walitumia jamii forum kupaza sauti zao kwa govment.
kizazi cha wasomi kipo upande wa upinzni wa kweli, hata kingetokea chama kingine kinachoeleweka wangekisapoti.
 
Nyumbu walitawala sana walikua wakali na kutaka kusikilizwa wao tu na huo mchezo waliuoeleka Twitter pia
Walikuwa moto balaa. Sasa hivi naona kama wamekaribia kupoteana. Hata ambao bado wanatukana unaweza kuona kabisa kuwa hata matusi yao hayana uhai ndani yake. Wakati ukuta! 😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…