Zamani tuliishi maisha ya mangumi

Zamani tuliishi maisha ya mangumi

Doto12

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2023
Posts
640
Reaction score
1,141
Tumekuwa tukitiliana ubabe na makonde mangumi watoto siku hizi haya mambo hawana.

Yaani enzi zile kutolewa meno ni kitu cha kawaida. Kutolewa nundu kitu cha kawaida.

Maisha yamebadilika kozazi hiki ni cha laptop na simu janja.

Enzi zole za mpira utasikia redioni. Ni vitimu vyetu uchwara mtaani kwetu. Zilikuwa Enzo..anao anao anao anao anao lalalalalalallalalaaaaa....

Enzi zile nikiwa shabiki Liverpool hata picha siwajui wachezaji sura.

Siku hizi kijana akiwa anasoma UK Annfield OT ataingia, Emirates ataingia Wembley atacama.

Enzi zile hadi nafikia miaka 27 sijui mwanamke. Maisha yamebadilika sana. Kule kijijini ukitaka kuoa unamvizia mwanamke mkiwa kama wanne anakamatwa hapo ndio amerotoshwa..kesho wazee watakwenda kusema wameiba mke.

Tukijua ma familia na muziki wa zamani

View: https://youtu.be/1XPBQwqREcE?si=i0c9wdD02IYsp017
 
Back
Top Bottom