Zamani ukisikia huyu ni "kiongozi wa UVCCM" unajua hapa akili ipo

Bila bila

JF-Expert Member
Joined
Dec 20, 2016
Posts
22,168
Reaction score
39,118
Hadi kufikia mwaka 2010 ukiambiwa huyu ni kiongozi wa Umoja wa Vijana unaanza kumpandisha kuhusu uwezo wake kichwani. Hata kama ni wa ngazi ya Kata ukimuona tu unasema "this boy is bright.

Ila siku hizi unakutana na kiongozi wa UVCCM Taiga ambaye uwezo wake kichwani hawezi kutosha kuwa Mwenyekiti wa Mtaa.

Screenshot_2024-06-15-07-49-06-897_com.twitter.android.jpg
 
Sasa kiongozi wa Ba-vichaa Pambalu, mpaka anaishia kwenye ualimu, maana yake ni failure, tena kasoma SAUT, chuo cha vilaza baada ya UDSM kutema makapi
 
Umasikini wa nchi unafanya watu wafikiri kuwa chuo kikuu ni chuo KIKUU yaani chuo KIKUBWA kuliko vyote nchini kwa maneno mengine ndo headquarter ya elimu ya nchi nzima kama ilivyo hospitali ya taifa Muhimbili kuwa ndo final au centre ktk system ya huduma za kiafya nchini.
Hii imepelekea wengi kuamini kuwa kwa hapa Tanzania UDSM ndo chuo KIKUU hivi vingine ni "vyuo vidogo" au ni "matawi ya chuo KIKUU" ambacho ndo UDSM.
Ni bahati mbaya kuwa CCM tuliyoipa dhamana kwa zaidi ya robo tatu ya karne ndo imetufikisha kwenye mawazo haya.
 
Sasa takataka za SAUT utafananisha na Udsm
 
Sasa kiongozi wa Ba-vichaa Pambalu, mpaka anaishia kwenye ualimu, maana yake ni failure, tena kasoma SAUT, chuo cha vilaza baada ya UDSM kutema makapi
Kwako Walimu ni failure si ndiyo?
1.Waziri Mkuu Majaliwa ni failure.
2.Naibu Waziri Mkuu Biteko ni most failure.
SAWA.
 
Back
Top Bottom