Umasikini wa nchi unafanya watu wafikiri kuwa chuo kikuu ni chuo KIKUU yaani chuo KIKUBWA kuliko vyote nchini kwa maneno mengine ndo headquarter ya elimu ya nchi nzima kama ilivyo hospitali ya taifa Muhimbili kuwa ndo final au centre ktk system ya huduma za kiafya nchini.Sasa kiongozi wa Ba-vichaa Pambalu, mpaka anaishia kwenye ualimu, maana yake ni failure, tena kasoma SAUT, chuo cha vilaza baada ya UDSM kutema makapi
Sasa takataka za SAUT utafananisha na UdsmUmasikini wa nchi unafanya watu wafikiri kuwa chuo kikuu ni chuo KIKUU yaani chuo KIKUBWA kuliko vyote nchini kwa maneno mengine ndo headquarter ya elimu ya nchi nzima kama ilivyo hospitali ya taifa Muhimbili kuwa ndo final au centre ktk system ya huduma za kiafya nchini.
Hii imepelekea wengi kuamini kuwa kwa hapa Tanzania UDSM ndo chuo KIKUU hivi vingine ni "vyuo vidogo" au ni "matawi ya chuo KIKUU" ambacho ndo UDSM.
Ni bahati mbaya kuwa CCM tuliyoipa dhamana kwa zaidi ya robo tatu ya karne ndo imetufikisha kwenye mawazo haya.
Kabisa lo
Kwako Walimu ni failure si ndiyo?Sasa kiongozi wa Ba-vichaa Pambalu, mpaka anaishia kwenye ualimu, maana yake ni failure, tena kasoma SAUT, chuo cha vilaza baada ya UDSM kutema makapi