Zamani: ulitumia wapi hivi vitu wakati unaoga ??

Zamani: ulitumia wapi hivi vitu wakati unaoga ??

Manyanza

JF-Expert Member
Joined
Nov 4, 2010
Posts
16,464
Reaction score
35,629
Karai
Dodoki
Sabuni ya Emperial.

Ulikuwa wapi enzi hizi ?

IMG_20240919_181217_385.jpg
 
Karai hapana
Dodoki kijijini
Emperial nikipata hela nitanunua walahi huwa laini
 
Emperial ndiyo ninayoitumia hadi sasa, ila hizi za siku hizi nadhani ni za mchongo, maana ukiacha ile harufu yake nzuri ambayo hadi leo haijabadilika kuna ile life expectancy ya sabuni yenyewe, ya zamani niliitumia mwezi mzima bila kwisha, ila ya sasa hivi haidumu hata wiki moja, kuna kitu wamechezesha.
 
Sijawai kuona mtu anaoga kwenye karai Ila Dodoki Nisha wai tumia
 
Back
Top Bottom